- Milele FM inasemekana kupendekeza kiwango kikubwa cha mshahara kwa watangazaji kadhaa wa stesheni ya Radio Citizen akiwemo Luchivya, Wagituro na Wilbroda
- Tayari Luchivya na Wagituro walikuwa wametangaza kwamba wanaoondoka kwenye stesheni hiyo ila hawakutaja mahali walikokuwa wakielekea
- Inasemekana Milele FM pia iko katika harakati ya kumpora mtangazaji wa stesheni ya Radio Maisha Alex Mwakideu na mcheshi maarufu Mogoka wa stesheni ya Qwetu FM
Wasiwasi umetanda katika kituo cha redio cha Radio Citizen FM baada ya watangazaji maarufu kujiuzulu na imeripotiwa kwamba wanatarajiwa kujiunga na stesheni pinzani ya Milele FM. Read More...
The Presidential candidate of the All Progressives Congress, Bola Tinubu has been accused by the Peoples Democratic Party of trying to compromise the 16th July 2022 governorship election in Osun State. Recall that the governorship candidate of the PDP, Ademola Adeleke defeated the incumbent governor and candidate of the APC, Gboyega Oyetola.
PDP claimed that the former Governor of Lagos State ran to Abuja seeking help over the result of the governorship election, but was rejected by stakeholders. Read More...