[base16] # _

Recent Posts

Embu: Wanawake wafurahia kufungwa kwa baa mbili zilizokuwa zinavunja ndoa zao

published on
- Wanawake hao wamekuwa wakiandaa maandamano ya kutaka baa hizo kufungwa kwa madai kuwa ziliwatesa waume zao - Walisema waume zao walikuwa wakibugia pombe na kupuuza majukumu yao ya familia - Kamishna wa kaunti ya Embu Abdullahi Galgalo alikuwa ametoa makataa ya wiki mbili kwa baa hizo kufungua Wanawakwe kaunti ya Embu waliimba nyimbo za shangwe baada ya baa mbili kufungwa katika eneo hilo. Kulingana na wakazi, baa hizo zilizokuwa katika kijiji cha Kiriga, zilichangia katika utovu wa nidhamu na kuvunjika kwa ndoa nyingi eneo hilo miongoni mwa athari zingine. Read More...

FIFA, UEFA Suspend Russia From International Football Over Ukraine Crisis

published on
World football governing body, FIFA and UEFA has announced the suspension of Russia from international football. This was made known in a joint statement on Monday by FIFA and UEFA. The statement reads: “Following the initial decisions adopted by the FIFA Council and the UEFA Executive Committee, which envisaged the adoption of additional measures, FIFA and UEFA have today decided together that all Russian teams, whether national representative teams or club teams, shall be suspended from participation in both FIFA and UEFA competitions until further notice. Read More...

Categories

Blog (1688)