[base16] # _

Recent Posts

Martha Koome: Bunge la Kitaifa Kuamua Ustahiki wa Jaji Mkuu Mteule Jumatano

published on
- Bunge la Kitaifa litafanya kikao maalum ili kutoa ripoti ya Kamati ya Haki na Maswala ya Sheria kuhusiana na uteuzi wa Koome - Kamati hiyo ilimchunguza jaji huyo wa mahakama ya rufaa ambaye anataka kuwa Jaji Mkuu wa kwanza mwanamke mnamo Alhamisi, Mei 13 - Atateuliwa rasmi na Rais Uhuru Kenyatta ikiwa bunge litaidhinisha uteuzi wake Jaji Mkuu mteule Martha Koome atajua hatma yake mnamo Jumatano, Mei 19 wakati Bunge la Kitaifa litajadili kuhusu ustahiki wake kabla ya kuanza kazi rasmi. Read More...

Mwizi aomba afisa wa polisi uelekezi baada ya kuiba gari

published on
- Lafayette Moore aliiba gari kutoka kwa kituo cha mafuta mjini Joliet, Illinois, Marekani - Akiwa anaondoka na gari hilo, alimuomba afisa wa polisi ambaye alikuwa anachunguza ajali eneo hilo amuelekeze - Afisa huyo alitambua kuwa gari hilo lilikuwa sawia na moja ambalo liliripotiwa kuibwa Habari Nyingine:"Wife material" wa Eric Omondi waswagana hadharani na kulazimu polisi kuingilia Wakati mwingine watu hufanya mambo ya kushangaza na kuwacha maswali mengi. Read More...

My Prayerful Mum is My Role Model, Lady Justice Martha Koome

published on
- Justice Martha Koome is one of at least 10 jurists seeking to replace retired chief justice David Maraga - She disclosed that she learnt a lot of things from her mother, starting from her prayerful life to being hardworking - Koome said her mother ensured all children in her house were educated; to secure them a better life than hers PAY ATTENTION: Help us change more lives, join TUKO.co.ke’s Patreon Programme Read More...

Categories

Blog (1688)